PES 2025 NBC

LILILOTAFSIRIWA KISWAHILI NA BARAKA MPENJA

Bei: TSH 8,000

⚠️ TAHADHARI: Halina Master League na linachezwa kwenye simu ya Android zenye RAM 2GB au zaidi.

Maelezo ya Mchezo

Hii ni toleo la PES 2025 NBC lililotafsiriwa kwa Kiswahili na Baraka Mpenja. Linaleta furaha ya mpira kwa wapenzi wa soka kwa lugha ya Kiswahili. Hata hivyo, kumbuka kuwa halina Master League.

Picha za Mchezo

Mchezo huu unakuletea furaha ya kucheza mpira ukiwa na wachezaji maarufu kwa lugha ya Kiswahili. Unaweza kufurahia michuano mbalimbali na marafiki zako.

Ni chaguo sahihi kwa wapenzi wa mpira wa miguu, hasa wale wanaotaka ladha ya mchezo huu kwa lugha wanayoelewa vizuri zaidi.